Saturday, January 24, 2009

Kumsoma mwanamke sura

Kujua au kuweza kumsoma mtu kunaweza kukupa dalili nyingi nzuri zakuweza kumfahamu undani wake kimapenzi.

Nywele Changa (HAIRLINE)
Zikiwa zimejikunja zinaashiria kuwa u Mtu huru mwenye kupenda kutoa amri ambae unahamasishwa na mawazo ya kibiashara.

NYUSI (EYEBROWS)
Nyusi zikiwa nzito (Thick)
unajikuta ukivutiwa na vitendo, matukio na ni mwepesi wa kuhadaa watu. Inakuwia vigumu kuwa na uhusiano wa kudumu na Mtu mmoja.

Nyusi zikiwa nyembamba (Thin Eyebrows)
inaonyesha wewe ni mtu asiyekuwa na hamu ya mapenzi. Nyusi zikiwa nyambamba kwa sababu ya kuzitinda basi ukweli wako wa ndani huwa unajificha na vile unavyoonekana.

Nyusi zikiwa zimekaribiana kulia na kushoto (Close-set)
Basi wewe ni Mtu mwenye wivu.

Nyusi zikiwa ziko mbalimbali kulia na kushoto (Wide-set)
Wewe ni mtu unaeweza kudhibitiwa na mwenye haya

Nyusi zikiwa zimechongeka (Curved)
Wewe ni Mtu mwenye hisia kali za ngono.

Nyusi zikiwa na shepu ya pembe tatu (Triangular)
Ni mtu mwenye kuridhika na urafiki kuliko uhusiano wa kimapenzi.

Nyusi zikiwa zimenyooka (Straight)
Ni mtu mwenye kupendelea kuw na matayarisho mengi katika kujiandaa kufanya mapenzi .

Nyusi zikiwa zimeungana kulia na kushoto (Monobrow - two brows joined).
Ni mtu mwenye kupenda mateso au maumivu yakichanganyika na raha au maumivu ya kiakili.

MACHO ( EYES)
Macho yakiwa yamepinda kwa Juu (Upwards slanting)
Ni mtu mwenyekupenda kucheza na watu lakini ni mtu mwenye hasira kali na za haraka ambae unaweza kusita kufanya lolote au kukataa moja kwa moja.

MACHO MAKUBWA NA MVIRINGO (Large and round)
Ni mtu mwenye hisia kali za kimapenzi, mwenye kuweza kurubuniwa kwa urahisi na tabia za kujipendekeza kwa watu.

MACHO MADOGO SANA (Very small eyes)
Hii ni Onyo kwa watu kwamba wewe ni mtu mwenye wivu mno, lakini ni mtu makini kwa kila kitu.

MACHO YENYE KUCHOMOZA (Protruding Eyes)
Inaashiria kwamba wewe ni mtu usiejali na ni mtu mwenye kupenda kufanya mapenzi ya vikundi.

MACHO YALIYOZAMA (Deep-set)
Ni mtu mwenye kupenda mahusiano mengi ya kimapenzi kabla ya kutulia na mpenzi mmoja wa kudumu no mwenye kupenda uwazi na mapenzi ya haraka.

Mistari midogo myembamba chini ya macho (Small thin lines running under the eyes)
Hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mchangamfu na menye hamu ya mapenzi. Watu wa iana hii wengi wao huwa ni watu wafanyao mapenzi wa jinsia moja.

PUA (NOSE)PUA NDEFU INAYO TEREMKA CHINI (Long downwards sloping) (Roman)
Ni watu weneye uwezo mkubwa katika matukio ya kimapenzi na wala hawajali mfumo wa kawaida.

PUA yenye mabonde mabonde (Bumpy)
Ni mwenye kuweza kudhibitiwa kwa urahisi katika masuala ya kimapenzi na mara nyingine kutokuwa na maamuzi.

PUA iliochongoka (Snub nose)
Ni mtu asikyekuwa na satrehe za kimapenzi kama itakikanvyo.

PUA iliyopinda (Crooked)
Unatakiwa uchukuwe tahadhari kwani wewe ni mwenye kumuamini mtu sana .

KINYWA MOUTH
Kinywa Kidogo (Small)
Ni mtu asiyekuwa mtegemezi na ni mkakamavu kitandani, mvumbuzi na mwenye kufika kileleni haraka katika mapenzi.

Kinywa kikubwa kilicho jaa (Large and full)
Ni mtu mbinafsi lakini mkarimu. Ni mwenye kupenda uhusiano usiokuwa wa kawaida bora tu awe anapendwa , na mwenye kupenda kuchukua muda wake awpo kitandani.

Kinywa kilicho pinda (Crooked):
Ni mwenye vituko vingi lakini anapenda kuzungumza sana awapo kitandani. Mara nyingi huwa na mpenzi zaidi ya moja.

Mdomo mnene wa juu (Thick upper lip)
Ni asiyejiamini lakini hodari wa kutongoza.

Mdomo mnene wa chini (Thick lower lip)
Mara nyingi ni watu wanaopenda kuchagua watu wasiokuwa waaminifu na kuishia pia wao kutokua waaminifu.

NYWELE (HAIR)
Nywele zilizotawanyika (Sparse Hair)
Uwezo wa watu hawa katika mapenzi ni mkubwa lakini matamanio yao ni yakubadilika-badilika, ni watu makini sana na wenye kutaka uthibitisho wa kimapenzi.

Nywele zilizo jaa (Hirsute Hair)
Ni watu imara na wenye nguvu na wanaweza kuwa washindani sana katika mapenzi. Hamu yao ya Mapenzi huwa ni ya kawaida.

8 comments: